Seventh-Day Adventist Church

BUSWEMA SDA CHURCH Kanisa sahihi kwa malezi ya kiroho

Menu





Mpendwa uliyetembelea kwenye tovuti hii, tunapenda kukukaribisha kwa moyo mweupe kuvinjari katika kurasa za tovuti hii iliyotengenezwa kwa ajili yako ili ujipatie humu mambo yatakayokuimarisha kiroho, kiakili, kijamii, na kimwili. Kanisa la Waadventista Wasabato Buswema wanaoiendesha tovuti hii wanapatikana kwenye mtaa wa Kiwira uliopo kanda ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Wanakuombea ukutane na rafiki yako mpenzi Yesu Kristo aliyekufia kwa kifo cha aibu pale masalabani kwa  ajili yako, na ambaye hivi karibuni atakuja tena akuchukue ukpumzike naye milele mbinguni. Mungu akubariki unapopanga kumpa maisha yako ili akuongoze. Asante Sana.